announcement

announcement (16)

Sunday, 01 September 2013 11:29

WALIOITWA KAZINI 29 AGOST 2013

Written by

WALIOTANGAZA:SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

 

BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA(WALIOITWA KAZINI)

 

 

 

 

Source:utumishi website

Tuesday, 18 June 2013 15:41

WALIOITWA KAZINI MWEZI JUNI 2013

Written by

WALIOTANGAZA:SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA


CLICK/BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA(TANGAZO LA KUITWA KAZINI JUNI 18 2013)


 

 

source:www.ajira.go.tz

Saturday, 23 March 2013 16:59

WALIOITWA KAZINI MWEZI MACHI

Written by

WALIOTANGAZA:SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

WALIOITWA KAZINI MWEZI MACHI

BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA

 

Monday, 18 February 2013 15:24

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

Written by

Examination Results

Description of "Star Codes" Used by NECTA in Examination Results

 • * S==> Results suspended pending clarification of observed anomalies either in candidates' entry details, involvement in cases of irregularities or misconduct in the examination.Results suspended due to centers or schools' failing to meet registration requirements (i.e. centers with less than 35 candidates).

 • * E==> Results withheld, pending proof of candidates' payment of requisite Examination fees.
 • * I==>INCOMPLETE Results due to candidates' missing Continous Assessment (CA) scores in all subjects offered.
 •     I ==>Incomplete results due to candidates' missing Continous Assessment(CA) scores in one or more subjects offered but not all.
 • * W ==>Results withheld/nullified or cancelled due to proven candidate's involvement in cases of dishonesty or irregularities before, during or after the examinations.
 • * T ==>Results suspended due to candidates' attempting one or more subjects not registered for (pirate candidate).
 •     ABS ==>Candidate missed to take the Exam.
 •     FLD ==>Candidate failed the Exam.
 •     X ==>Candidate did not appear to take the exam for the particular registered subject.

CLICK  HAPA CHINI KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


LINK-01: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012

 

LINK-02: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012

 

LINK-03: MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE 2012

 

Source:www.necta.go.tz

Thursday, 14 February 2013 06:21

MAJINA-AJIRA MPYA ZA WALIMU TANZANIA

Written by

AJIRA MPYA YA WALIMU WA VYUO VYA UALIMU NA SHULE ZA MAZOEZI MWAKA 2012/13
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakuu wa Vyuo vya Ualimu walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO

BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA (WAKUFUNZI (25.58 kB))

------------------------------------------------------------------------------------------------------------

AJIRA MPYA YA WALIMU WA STASHAHADA WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13        
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.

NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO

BOFYA HAP KUSOMA MAJINA (AJIRA MPYA YA WALIMU WA STASHAHADA WASHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13 (638.51 kB))

---------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------


AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHAHADA WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13
 Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili ya kupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo. 
   
NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO


(BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA YA AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHAHADA WA SHULE ZA SEKONDARI MWAKA 2012/13 (1.35 MB))

--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
    
AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13
Walimu wote waliopewa ajira ya Ualimu Serikalini ambao majina yao yametangazwa katika tovuti za Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Ofisi ya Waziri Mkuu- TAMISEMI, wanatakiwa kuripoti tarehe 01 Machi 2013 kwenye Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri walikopangiwa kwa ajili yakupangiwa Vituo vya kazi. HAKUNA MABADILIKO YA VITUO VYA KAZI YATAKAYOFANYWA. Mwalimu anatakiwa kwenda na vyeti vyake halisi vya taaluma na cheti cha kuzaliwa pamoja na nakala zake. Mwalimu ambaye hataripoti ifikapo tarehe 9 Machi 2013 atapoteza nafasi hiyo.

NB: WALIMU WALIOKWISHA AJIRIWA WARUDI KWA WAAJIRI WAO

 BOFYA HAPA KUSOMA MAJINA YA AJIRA MPYA YA WALIMU WA SHULE ZA MSINGI MWAKA 2012/13 (1006.83 kB)

 

 


 
Chanzo:www.moe.go.tz

Thursday, 14 February 2013 05:21

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA

Written by

     

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU AJIRA YA WALIMU WAPYA WA SHULE ZA MSINGI, SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU TANZANIA BARA MWAKA 2012/13

Jumla ya walimu 26,537 wameajiriwa Serikalini kwa mwaka wa fedha 2012/13. Walimu wa ngazi ya cheti walioajiriwa ni 13,568. Kati yao walimu 13,527 wamepangwa kufanya kazi katika shule za msingi zilizopo kwenye Halmashauri na walimu 41 wamepangwa katika shule za msingi za mazoezi zilizo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Jumla ya walimu wa sekondari na vyuo vya ualimu walioajiriwa ni 12,973; wakiwemo walimu wa shahada 8,887 na wa stashahada 4,086.

Walimu waliopangwa kufundisha shule za sekondari zilizo chini ya Halmashauri ni 12,893, wakufunzi wa vyuo vya ualimu ni 59 na walimu 21 wamepangwa kufundisha katika shule za sekondari za mazoezi zilizo chini ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi. Aidha, idadi hiyo inajumuisha walimu 188 wa Elimu maalumu wenye Shahada ambao wamepangwa katika shule za sekondari na vyuo vya ualimu vinavyotoa Elimu maalumu.

Idadi ya walimu walioajiriwa mwaka 2012/13 imeongezeka kwa asilimia 11 sawa na walimu 2,630 ikilinganishwa na walimu 23,907 walioajiriwa mwaka uliopita 2011/12.

Kati ya walimu wa sekondari na vyuo waliyoajiriwa, jumla ya walimu 1,286 (shahada 862 na stashahada 424) ni wale walioomba ajira Serikalini kutoka soko la ajira. Hawa ni tofauti na wale waliotoka vyuoni moja kwa moja. Aidha, walimu walioajiriwa ni pamoja na walimu wa ngazi ya stashahada 841 wa mwaka 2011 waliorudia mtihani mwaka 2012 na kufaulu. Kwa upande wa walimu wa elimu ya msingi, walimu 200 kati ya walioajiriwa ni waliokuwa katika soko na kuomba ajira serikalini.

Naagiza kuwa walimu wahitimu ambao ni waajiriwa(inservice) wanatakiwa kurudi katika vituo vyao vya kazi walikokuwa wakifanya kazi kabla ya kwenda masomoni.

Orodha ya walimu na Halmashauri walikopangwa itapatikana kwenye tovuti ya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi (www.moe.go.tz) na tovuti ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa–TAMISEMI (www.pmoralg.go.tz). Orodha hiyo pia itatumwa kwenye Mikoa na Halmashauri husika.

Walimu wote waliopangiwa vituo vya kazi wanaagizwa kuripoti katika Ofisi za Wakurugenzi wa Halmashauri au Wakuu wa Vyuo vya Ualimu walikopangwa tarehe 1 Machi, 2013. Tarehe ya mwisho ya kuripoti ni tarehe 9 Machi 2013. Tarehe ya mwisho ya kuripoti imepangwa ili kuwezesha walimu wapya kuingizwa katika orodha ya mshahara wa mwezi Machi 2013. Watendaji na wasimamizi wa elimu kwenye Halmashauri na Vyuo vya Ualimu watakuwepo kuwapokea.
 
Walimu wote wanatakiwa kuripoti wakiwa na Vyeti vyao halisi vya taaluma, cheti cha kuzaliwa, pamoja na nakala zake ili viweze kuhakikiwa na kukamilisha taratibu za ajira zao. Waajiri, yaani Wakurugenzi wa Halmashauri na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi watawalipa walimu wapya malipo stahili kwa mujibu wa nyaraka na miongozo ya Serikali kuhusu waajiriwa wapya.

Nawatakia walimu wote waliopata ajiri hizi mpya utumishi mwema Serikalini katika Sekta ya Elimu.

 

Imetolewa na:

Dkt. Shukuru Jumanne Kawambwa (Mb)
WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
13 Februari 2013

Tuesday, 15 January 2013 12:53

TANGAZA NAFASI ZA KAZI BURE KABISA

Written by

www.ajirazetu.com

KARIBu ajirazetu.com KUTANGAZA NAFASI MBALIMBALI  ZA KAZI BURE KABISA

PIA UNAWEZA KUTUTUMIA

 •          USAILI (Majina ya  walioitwa kufanya usaili)
 •           Kuitwa kazini (Majina ya walioitwa kuanza kazi)
 •            Tenda
 •           Huduma (Huduma mbalimbali zitolewazo na biashara ama kampuni yako)

 

  Iandike katika mtindo wa habari nasi tutaiweka kwenye tovuti yetu.

Usisahau kuweka namba ya simu ama Taarifa yoyote itakayothibitisha chanzo.

Tuma kwenda :

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

 

PIA UKITAKA TUKUTANGAZIE   BIASHARA AMA KAMPUNI  YAKO   KWA  BEI NAFUU KABISA

KWA MAWASILIANO

This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.

+255765201518

 

 

 

Page 1 of 2

Large link