AJIRA ZETU

AJIRA ZETU

Wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya NSSF wametembelea banda la NSSF kwenye Maonesho ya 39 ya kimataifa ya biashara(Sabasaba).

Wajumbe hao wakiongozwa na mwenyekiti wa bodi Bw. Abubakary Rajab waliweza kupata maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa kwenye banda hilo. Pia wajumbe hao walipata nafasi ya kupima Afya zao huduma ambayo inatolewa bure kwenye banda hilo.

Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii( NSSF) limeibuka mabingwa wa jumla kwenye maonesho ya 39 ya Kimataifa ya Biashara ( Sabasaba).


Akiongea kwenye Sherehe za ufunguzi wa Maonesho hayo na Kukabidhi zawadi Mgeni Rasmi , Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  Dr.Jakaya Mrisho Kikwete aliipongeza NSSF kwa ushindi huo na kuisifu kwa ubunifu wake na ubora wa huduma unazozitoa.

Shirika la Taifa la Hifadhi ya