Monday, 23 March 2015 00:00

200 wanamatatizo ya meno,fizi

Dktari akimfanyia uchunguzi mgonjwa.(PICHA/LM)
Na Mwandishi wetu

Akizungumza wakati wa zoezi la utoaji wa huduma ya afya ya kinywa na meno katika shule ya msingi KIGOLWIRA na katika kituo cha kulea wazee wasiojiweza cha fungafunga mjini morogoro  Daktari wa meno Samson Tarimo amesema baada ya kufanya uchunguzi na kuwasafisha meno wamebaini idadi kubwa ya wanafunzi meno yao yameoza  ambapo amewataka wazazi kuwapeleka watoto hospitali kw amatibabu zaidi.

Kwa upande wao baadhi ya wanafunzi na wazee waliopata huduma hiyo wameshukuru  madaktari ambapo wameeleza  walikuwa wakisumbuliwa na tatizo la meno kwa muda mrefu  bila kupata ufumbuzina kuiomba serikali kuwezesha juhudi zilizoanzishwa na madaktari hao kuwa endelevu.

Chanzao:ITV

Read 1390 times