Saturday, 22 November 2014 03:00

21 wasitishwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi

Na Mwandishi wetu.

Ikiwa serikali inajipanga kupunguza tatizo la ajira hapa nchini Waombaji 21 wa nafasi mbalimbali za kazi  serikalini  na waliofanikiwa kufanya usaili na kupangiwa vituo vya kazi  wamepewa tangazo katika tovuti ya sekretariate ya ajira  kuwa wasiripoti katika vituo vyao vya kazi  mpaka tangazo litakavyotolewa katika ofisi hizo.

Tangazo hilo ni Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anawatangazia wafuatao hapa chini waliokuwa wamepangiwa vituo vya kazi WASIRIPOTI KATIKA VITUO VYAO hadi hapo watakapopata taarifa zaidi toka ofisi hii.


kwa waombaji wa nafasi ya  AFISA KILIMO MSAIDIZI II  walikuwa wamepangiwa katika wilaya na mikoa mbalimbali hapa nchini  Kusoma majina ya wote walio sitishwa kuripoti katika vituo vyao vya kazi    BONYEZA HAPA

Read 1443 times