Thursday, 15 January 2015 03:00

Asilimia 30% wanakula Sumu ya Kuvu

Utafiti unaonyesha kuwa Tanzania ni miongoni mwa nchi ya nne barani Afrika kaw uzalishaji wa mahindi,lakini watumihaji na walaji wa mazao hayao wamekuw wakila 30% ya sumu Kuvu inayotokana na uifadhi duni wa mahindi.Hayo yamesemwa na mtafiti wa sumu kwenye mazao Dk Martin Kimanya mhadhili mwanandamizi w a chuo kikuu cha sayansi na tekninolojia cha Nelson Mandela,amesema ili kuondoa sumu,mtumiaji wa mahindi hana budi kutoa nafaka zilizobadilika rangi na kuota ukungu na siyo kwa kula .Mradi wa kuboresha chakula unaofadhiliwa na shirika la maendeleo la marejkani USAID limeanza mkakati wa kuinusuru jamii kwa kutoa elimu kwa wasindikikaji na wakulima ili kujua madhara ya sumu hiyo

 

Read 1019 times