Monday, 19 January 2015 03:00

Dawa ya Ujangili yapatikana.Lazaro

WAZIRI WA maliasiri na Utalii Lazaro Nyalandu

Serikali imesema inaanda mikakati na mbinu mpya ya kupambana na ujangili wa vifaru,Ndovu,mikakati ambayo ipo tayari kwasasa.

Mzoga wa Tembo baada ya kuwawa na majangili na kuchukuliwa meno.

Ndovu na Vifaru ni miongoni mwa wanayama hadhimu barani Afrika,wengune ni Nyati,Chui na Simba,mikakati na mbinu hizi tayari zinatarajiwa kuanza mapema mwezi ujao ili kukuomesha mauja I ya wanayama pori ambao ni kivutio kwa taifa la Tanzania

Askari wanayapori wakiwa wamelishilkilia gari lililokuwa na Simba waliouwawa na majangili tayari kwa kutoroshwa nja.

Mbali na hilo serikali bado itatumia taasisi za ulinzi na usalama katika kutokomeza ujangili,kawa mujibu wa taasisi ya utafiti wa wanayama(TAWIRI) imesema ujangili kwa Tanzania umekithiri kwani kaisi cha  Tembo 10000 wanauwawa kila mwaka.

Baadhi ya Nyara za serikali zilizokamatwa

Waziri wa maliasiri na Utalii Lazaro Nyalandu ameseama serikali ipo katika mikakati ya kuanda sera ya wanya  pori,a,mabapo tayari inameshaandaa mpango wa kukabiliana na kukomesha ujangili

Read 1248 times