Monday, 15 May 2017 10:07

MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUENDELEA NA USAILI WA MAHOJIANO NHIF

Rate this item
(0 votes)

 National-Health-Insurance-Fund-NHIF2.jpg

Wasahili waliochaguliwa kuendelea na usahili wa mahojiano wanakumbushwa kufika saa moja kamili asubuhi tarehe 15-05-2017
kwa wasailiwa wa kada ya SYSTEM ADMINISTRATOR III watakuwa ns usaili wa vitendo  practical siku ya jumanne tarehe 16-05-2017 saa moja kamili asubuhi utakaofanyika katka ofisi za sekretariat ya ajira maktaba kuu ya taifa

click hapa kusoma majina ya waliochaguliwa

Read 888 times