HALMASHAURI YA WILAYA YA KASULU

KUMBU NA. KSDC/S.2/31 VOL II/238

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu anayo furaha kuwatangazia watanzania wenye sifa , nafasi za kazi Afisa Ustawi wa Jamii II kazi hii ni ya mkataba wa miaka miwili watakao fanikiwa kupata kazi hii watapangiwa kufanya kazi kwenye Halmashauri na wengine watapangiwa kwenye kazi ya wwakimbizi ya Ntarugusu iliyoko katika Halmshauri ya Wilaya ya Kasulu

KAZI: AFISA USTAWI WA JAMII II

NAFASI: 5
NGAZI YA MSHAHARA: TGS D

KAZI NA MAJUKUMU
- Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenyemamatizo pamoja na vijana wenye matatizo mbalimbali)
- kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili
- kuandaa tarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa
- kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa jamii kutoka kwa wadau na vituo mbali mbali vya ustawi wa jamii
- kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za waeu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya uandikishaji wa vituo vya kulelea watoto wadogo wachanga, malezi ambao (foster care) na vyuo vya walezi na watoto wadogo mchana
- kupokea na kuachmbua, kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Raisi kutoka kwa wamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yaima au wanaohitaji misaada mbalimbali
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia za watu wenye dhiki
- kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa
- kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusi za watoto na shule ya maadiliano
- kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

SIFA ZA KUAJIRIWA
- Awe Mtanzania
- awe na umri wa miaka 21 mpaka 45
- awe na elimu kuanzia kidato cha 4 na kuendelea
- awe na shahada ya Ustawi wa Jamii au stashahada ya juu ya ustawi wa jamii kutoka chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
Ajira hii ni makataba wa miaka miwili na malipo ya mshara wao , posho za kujikiu na maslahi mengine yatafanyika kwa kuafuata viwango vya serikali

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
Kwa yeyote mwenye sifa za kazi hii anatakiwa kutuma maombi yake kwa anuani ho hapa chini akiambatanisha vyeti vya taaluma na ujuzi pamoja na cheti cha kuzliwa pamoja na melezo binafsi

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya ,
S.l.p 43,
Kasulu

Mwisho wa kutuma maombi haya ni tarehe 05/03/2018 saa 9;30 Alasiri waombaji waliofanyiwa uchambuzi watajulishwa kwa simu pamoja na barua pepe watakazokuwa wameziandika kwenye CV zao kwaajili ya kuja kufanyiwa usaili nafasi hizi hazibagui jinsia na hali ya mtu

Published in NAFASI ZA KAZI

HALMASHAURI YA WILAYA YA KIBONDO

KUMBU NA. HW/S.40/22C/102

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibondo anayo furaha kuwatangazia watanzania wenye sifa , nafasi za kazi Afisa Ustawi wa Jamii II kazi hii ni ya mkataba wa miaka miwili watakao fanikiwa kupata kazi hii watapangiwa kufanya kazi kwenye Halmashauri na wengine watapangiwa kwenye kazi ya wwakimbizi ya Mtendeli iliyoko katika Halmashauri ya wilaya hii

MUDA WA AJIRA
Mkataba wa miaka miwili kwa kuzingatia kipindi chote ambacho mfadhili atagharamia ajira hizi

KAZI: AFISA USTAWI WA JAMII II
NAFASI: 5

KAZI NA MAJUKUMU
- Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenyemamatizo pamoja na vijana wenye matatizo mbalimbali)
- kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili
- kuandaa tarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa
- kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa jamii kutoka kwa wadau na vituo mbali mbali vya ustawi wa jamii
- kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za waeu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya uandikishaji wa vituo vya kulelea watoto wadogo wachanga, malezi ambao (foster care) na vyuo vya walezi na watoto wadogo mchana
- kupokea na kuachmbua, kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Raisi kutoka kwa wamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yaima au wanaohitaji misaada mbalimbali
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia za watu wenye dhiki
- kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa
- kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusi za watoto na shule ya maadiliano
- kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

SIFA ZA KUAJIRIWA
- awe na shahada ya Ustawi wa Jamii au stashahada ya juu ya ustawi wa jamii kutoka chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali

NGAZI YA MSHAHARA
kwa kuzingatia viwango vya Serikali yaan ngazi ya mshahara : TGS D

MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
- waombaji wawe Raia wa Tanzania na wenye umri usiozidi miaka 45
- waombaji waambatanishe cheti cha kuzaliwa
- waombaji waambatanishe CV zenye namba za simu, anwani za kuaminika pamoja na majina ya wadhamini wa 3 wa kuaminika
- maombi yote yaambatanishwe na vyeti vya taaluma na nakala za vyti vya kidato cha 4 na 6 kwa wale waliofika kiwango hicho na vyeti vya kuhitimu mafunzo mbalimbali kuzingatia sifa za kazi husika
- picha moja ya passport size ya hivi karibuni indikwe jina kwa nyuma
- waombaji watakao wasilisha taarifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria
- mwisho wa kutuma maombi hya ni tarehe 01/03/ 2018 saa 9:30 Alasiri, waombaji watafanyiwa uchambuzi watajulisha kwa simu pmoja na barua pepe watakazokuwa wameziandika kwenye CV zao kwaajili ya usaili
- maombi yote yatumwe kwa njia ya posta barua zitakazo wsilishwa kwa mkono hazitapokelwa
- maombi yaandikwe kwa lugha ya Kingereza au Kiswahili fasaha na yatumwe kwenye anuani ifuatayo


Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya Kibondo,
s.l.p 43,
Kibondo

Published in NAFASI ZA KAZI


HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO

KUMBU NA. HW/KNK/S.40/6/62

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko anaayo furaha kuwatangazia watanzania wenye sifa , nafasi za kazi Afisa Ustawi wa Jamii II kazi hii ni ya mkataba wa miaka miwili watakao fanikiwa kupata kazi hii watapangiwa kufanya kazi kwenye Halmashauri na wengine watapangiwa kwenye kazi ya wwakimbizi ya Mtendeli iliyoko katika Halmashauri ya wilaya ya Kakonko

KAZI: AFISA USTAWI WA JAMII II
NAFASI: 5
NGAZI YA MSHAHARA: TGS D

SIFA ZA KUAJIRIWA
- awe Mtanzania
- awe na umri wa kuanzia miaka 21 mpaka 45
- awe na elimu ya kuanzia kidato cha nne na kuendelea
- awe na shahada ya Ustawi wa Jamii au stashahada ya juu ya ustawi wa jamii kutoka chuo cha elimu ya juu kinachotambuliwa na Serikali

KAZI NA MAJUKUMU
- Kuendesha usaili kwa wahudumiwa (watu wenye ulemavu, wazee, familia zenyemamatizo pamoja na vijana wenye matatizo mbalimbali)
- kufanya ukaguzi wa mazingira wanayoishi wahudumiwa ili kupata taarifa zao kamili
- kuandaa tarifa za usaili na ukaguzi wa mazingira ya wahudumiwa
- kupokea na kukusanya taarifa za ustawi wa jamii kutoka kwa wadau na vituo mbali mbali vya ustawi wa jamii
- kupokea na kukusanya takwimu zinazohusu huduma za waeu wenye ulemavu, wazee, malezi ya watoto na familia zenye matatizo
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya uandikishaji wa vituo vya kulelea watoto wadogo wachanga, malezi ambao (foster care) na vyuo vya walezi na watoto wadogo mchana
- kupokea na kuachmbua, kuandaa orodha ya maombi ya msaada wa Raisi kutoka kwa wamama waliojifungua watoto watatu au zaidi kwa mara moja
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi ya watoto yaima au wanaohitaji misaada mbalimbali
- kupokea, kuchambua na kuandaa orodha ya maombi mbalimbali kutoka kwenye familia za watu wenye dhiki
- kuhoji na kuandaa taarifa za washitakiwa
- kusimamia wahudumiwa katika makazi, vyuo vya mafunzo ya ufundi stadi vya watu wenye ulemavu, mahabusi za watoto na shule ya maadiliano
- kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na mkuu wake wa kazi zinazohusiana na elimu, uzoefu na ujuzi wake

MASHARTI YA KAZI
ajira hizi ni za mkataba wa miaka miwili na malipo ya mishara yao na posho za kujikimu na maslahi mengine yatafanyika kwa kufuata viwango vya serikali

JINSI YA KUTUMA MAOMBI
- kwa yeyetoe mwenye sifa za kazi hii anatakiwa kutuma maombi yake kwa anuani hii hapa chini akiambatanisha vyeti vyake vya taaluma na ujuzi pamoja na cheti cha kuzaliwa na maelezo yake binafsu (CV)

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya Kakonko,
s.l.p 03,
Kakonko

mwisho wa kutuma maombi hya ni tarehe 03/03/ 2018 saa 9:30 Alasiri, waombaji watafanyiwa uchambuzi watajulisha kwa simu pmoja na barua pepe watakazokuwa wameziandika kwenye CV zao kwaajili ya usaili

Published in NAFASI ZA KAZI

NAFASI ZA KAZI MHASIBU MSAIDIZI NA AFISA MAFUNZO – OSHA

Wakala wa Usalama na Afya Mahala pa Kazi ni Taasisi ya Serikali ilioundwa kwa mujibu wa Sheria ya Wkala wa Serikali namba 30 ya mwaka 1997 ambapo majukumu yake yameainishwa katika heria ya usalama na afya mahala pa kazi namba 5 ya mwaka 2003. Wakala pamoja na kazi nyingine una dhamana ya kusimamia usalama na afya za wafanayakazi wanapokuwa kazini, ilikuhakikisha kuwa wakala unatekeleza majukumu kama yalivyoainishwa katika sharia tajwa hapo juu, Mtendaji Mkuu anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi zifuatazo

MHASIBU MSAIDIZI NAFASI 4 (MARUDIO)

SIFA ZA WAOMBAJI
- Awe na stashahada ya kawaida ya uhasibu kutoka chuo / taasisi yoyote inayotambuliwa na serikali
- Awe na cheti cha ufahulu wa mtihan mgumu wa uhasibu serikalin unaotolewa na chuo Cha Utumishi wa Umma
- Awe na uzoefu wa kazi usiopungua mwaka mmoja katika fani ya uhasibu

MAJUKUMU YA KAZI
i. Kupoka na kulipa fedha
ii. Kutunza daftari la fedha
iii. Kufanya usukuhisho wa hesabu za benki (bank reconciliation)
iv. Kukagua hati za malipo
v. Kupitisha malipo kulingana na kanuni za fedha
vi. Kusimamia kazi za wasaidizi wa hesabu
vii. Kufanya kazi nyingine atakayopangiwa na msimamizi wake

MSHAHARA
OSHA 4.1

===========

AFISA MAFUNZO NAFASI 3 MWANZA, ARUSHA NA MBEYA

SIFA ZA MWOMBAJI
- Awe na shahada ya masuala ya usalama na Faya mahala pa kazi ama shahada ya Afya ya jamii au mazingira
- Awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja katika masuala ya afya na usalama mahali pa kazi pamoja na usimamaizi wa mafunzo

MAJUKUMU YA KAZI
i. Kusimamia utekelezaji wa mapango wa mafunzo ya usalama na afya mahali pa kazi
ii. Kusimamia timu za wakufunzi
iii. Kushiriki katika uandaaji wa mpango wa mafunzo ya mwaka
iv. Kuainisha mahitaji ya mafunzo katika sehemu mbalimbali za kazi
v. Kuandaa bajeti ya mwaka kuhusu mafunzo
vi. Kuandaa kaznidata ya wakufunzi
vii. Kufanya thmini ya mafunzo yanayoolewa na kutoa mapendekezo kuhusu maboresho
viii. Kuwasiliana na wadau kuhusu mafunzo mahususi
ix. Kuandaa na kutunza vifaa na nyaraka za kutolea mafunzo
x. Kuandaa utaratibu maalum wa kupata marejesho kutoka kwa wale waliopata mafunzo
xi. Kazi nyingine atakazo pangiwa na msimamizi wake wa kazi

MSHAHARA
OSHA 5.1

MASHARTI YA JUMLA
- Waombaji wote wawe raia wa Tanzania na wenye umri usiozid miaka 45
- Waombaji waambatanishe vyeti vya kuzaliwa
- Waombaji waambatanishe maelezo binafsi yanayojitosheleza yeneye anuani na namba za simu pamoja na majina ya wadhamini wa 3
- Maombi yaambatanae na vyeti vya taaluma maelezo na nakala za vyeti vya kidato cha 6 kwa wale waliofika kiwango hicho na cheti cha kuhitimu mafunzo mbali mbali kwa kuzingatia kazi husika
- Waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe vyeti vyao vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika TCU/NACTE
- Watakao wasilisha taarifa na sifa za kughushi watachukuliwa hatua za kisheria
- Maombi yatumwe kwa njia yay a posta au kwa mkono kufikisha ofisi za makao makuu zilizopo kinondoni barabara ya mahakama
- Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 06/02/2018
- Maombi yatakayowasilisha nje ya utaratibu uloanishwa hayatafanyiwa kazi

Jinsi ya kuwasilisha maombi
Maombi yatumwe kwa

MTENDAJI MKUU,
WAKALA WA USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI,
S.L.P 519,
DAR ES SALAAM
Source Mwananchi Jnuary 25, 2018

Published in NAFASI ZA KAZI
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU
 
NAFASI YA KAZI YA MKATABA
 
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Magu kwa kushirikiana na shirika la AGPAHI natatangaza nafasi za ajira ya mkataba wa iezi 9 katika nafasi ya maafisa wauguzi wasaidizi kwenye vituo vya kutolea huduma za tiba
 
NAFASI 7 ZA AFISA MUUGUZI MSAIDIZI 
 
SIFA ZA KUAJIRIWA
- kuajiriwa wahitimu wa kidato cha 4 au 6 wenye stashahada (Diploma) ya uuguzi b=na waliosalijiriwa na baraza la Wauguzi na Wakunga Tanzania
 
MAJUKUMU
- kufanya kazi zote za kiuguzi
- kutambua matatizo ya wagonjwa
- kufanya uchubguzi sahihi wa afya ya mteja/mgonjwa  ili kumsaidia
- kukusanya taarifa muhimu kutoka kwa wagonjwa/mteja ili kutoa  uamuzi sahihi kuhusu afya yake
- kusimamia utakasaji wa vyombo vya tiba
- kutayarisha nursing care plans na kuzitekeleza
- kuwae;ekeza wauguzi walio chini yake
- kutathimini maendeleo ya mgonjwa/ mteja na kutoa taarifa kwa mkuu wake wa kazi 
- kufanya kazi nyingine  atakazo pangiwa naa mkuu wake wa kazi
 
anaweza kupangiwa kazi katika zahanati, ituo cha afya au hospitali ya Wilaya
 
KIWANGO CHA MSHARA
Tshs 600,000/= kwa mwezi 
 
MASHARTI YA JUMLA KWA WAOMBAJI
waombaji wote wanatakiwa kuwa silisha barua zao kwa Mkurugenzi  Mtendaji wakiwa wameambatanisha 
-Vyeti vya taaluma, vyeti vya shule na usajili nk
- picha ndogo ya hivi karibuni
- wasifu wa mwombaji
- mwombaji aandike namba yake ya simu
- barua zote ziandikwe kwa mkono
 
AJIRA
Mwombaji atakaye fanikiwa kupata ataajiriwa mkataba  wa miezi 9 na hutakuwa na subsistance allowance posho ya kujikimu wakati wa kuanza kazi kwa mujibu wa wfadhili wa shirika la AGPAHI
 
Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 29/12/2017 saa 9;30 aLASIRI
 
MAOMBI YATUMWE KWA 
 
MKURUGENZI MTENDAJI,
HALMASHAURI YA WILAYA YA MAGU,
S.L.P 200,
MAGU
Published in NAFASI ZA KAZI
 
 
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA  OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Kumb.NaEA.7/96/01/J/68 30 Novemba, 2017
 
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
 
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Wizara, Idara
Zinazojitegemea, Taasisi za Umma Mbalimbali, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za
Serikali za Mitaa anapenda kuwataarifu waombaji kazi wote walioomba kazi kuwa
usaili unatarajiwa kuendeshwa kuanzia tarehe 2-7 Desemba, 2017 na hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili huo.
Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-
 
i. Usaili wa Mchujo utafanyika tarehe 2 Desemba, 2017 kama ilivyoainishwa
kwenye tangazo hili, muda na sehemu ambapo usaili utafanyika umeainishwa
kwa kila Kada;
 
ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;
 
iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi,
Kitambulisho cha Mpigakura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia
au Hati ya kusafiria;
 
iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha
kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na
kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;
 
v. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement
of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form iv and form vi 
results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEA
NA USAILI;
 
vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi;
 
vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;
 
viii. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA); na
 
ix. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji yaTangazo husika.
 
x. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma
wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za
kufanyia kazi.
 
kusoma ratiba na majina ya walio itwa bofya hapo chini
Published in KUITWA KWENYE USAILI

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI  MTENDAJI KIJIJI III NAFASI 10

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mji wa Makambako anawatangazia Wananchi wote wenye sifa za kazi ya ajira ya kuduma

1.    MTENDAJI WA KIJIJI  DARAJA LA III NAFASI 10 – NGAZI YA MSHAHARA NI TGS B

KAZI/MAJUKUMU
i.    Atakuwa Afisa Masuuli na Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Kijiji.
ii.    Atakuwa msimamizi Mkuu wa Ulinzi na Usalama wa Raia na Mali zao, atakuwa Mlinzi wa Amani na Msimamizi wa Utawala Bora katika Kijiji.
iii.    Ataratibu na Kusimamia upangaji wa utekelezaji wa Mipango ya Maendeleo ya Kijiji.
iv.    Atakuwa Katibu wa Mikutano na Kamati zote za Halmashauri ya Kijiji.
v.    Kutafsiri na kusimamia Sera, Sheria na Taratibu.
vi.    Kuandaa taarifa za utekelezaji wa kazi katika eneo lake na kuhamasisha wananchi katika kuandaa na kutekeleza mikakati ya kuondoa njaa, umasikini na kuongeza uzalishaji mali.
vii.    Kiongozi wa Wakuu wa Vitengo vya kitaalamu katika kijiji.
viii.    Kusimamia, kukusanya na kuhifadhi kumbukumbu zote na nyaraka za Kijiji.
ix.    Mwenyekiti wa kikao cha wataalam waliopo katika kijiji.
x.    Kupokea, kusikiliza na kutatua malalamiko na migogoro ya wananchi.
xi.    Kusimamia utungaji wa sheria ndogo za kijiji.
xii.    Atawajibika kwa Mtendaji wa Kata.
xiii.    Kazi nyingine zote atakazopangiwa na Mwajiri.

SIFA ZA MWOMBAJI
- Mwombaji awe na elimu ya Diploma katika moja ya fani zifuatazo Utawala,Sheria,Elimu ya Jamii,Usimamizi wa fedha,Maendeleo ya Jamii,Na Sayansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
- Awe na umri usiozidi miaka 40
- awe na ujuzi wa kumpyuta

NGAZI YA MSHAHARA
Ngazi ya mshara TGS C sawa na Tshs 525,000/=

MASHARTI YA AJIRA
MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA KWA WAOMBAJI
i.    Mwombaji awe Raia wa Tanzania ambaye umri wake usiopungue miaka 18 na kuzidi miaka 45.
ii.    Mwombaji lazima aambatanishe wasifu binafsi (CV) wenye mawasiliano ya uhakika anuani, barua pepe na namba za simu,
iii.    Mwombaji aombe kwa kufuata tangazo hili la kazi,
iv.    Mwombaji lazima aambatanishe nakala za vyeti vifuatavyo:-
a)    Astashahada/cheti cha utaalam kulingana na sifa za nafasi husika,
b)    Cheti cha Mtihani wa kidato cha nne au sita,
c)    Cheti cha kuzaliwa.
v.    Hati ya matokeo ya kidato cha nne (Result slip) haitafanya kazi,
vi.    “Transcript” ambayo haikuambatanishwa na cheti haitafanya kazi,
vii.    Kuwasilisha vyeti vya kughushi na maelezo mengine itasababisha kuchukuliwa hatua za kisheria.
viii.    Mwombaji ambae ni Mtumishi wa Umma haruhusiwi kuomba nafasi hizi.
ix.    Mwombaji aliyestaafu kazi kwa sababu yoyote ile haruhusiwi kuomba nafasi hizi.
x.    Hajawahi kufukuzwa kazi Serikalini.
xi.    Hajawahi kufungwa kwa makosa ya jinai.
xii.    Mwombaji aonyeshe wadhamini wawili na mawasiliano yao anuani na namba za simu.
xiii.    Barua ya maombi iandikwe kwa Kiswahili au Kiingereza.
xiv.    Aambatanishe picha 2 za Passport Size za hivi karibuni.

Maombi yatumwe kwa:-
MKURUGENZI,
HALMASHAURI YA MJI,
S.L.P 405.
MAKAMBAKO.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 12/09/2017

Published in NAFASI ZA KAZI

TANGAZO LA KAZI WAKALA WA VIPIMO

Wakala wa Vipimo ni Taasisi (Wakala) ya Serikali iliyo chini ya Wizara ya Viwanda
Biashara na Uwekezaji. Taasisi hii iliundwa kwa mujibu wa Sheria ya Wakala za
Serikali Sura Na. 245, mapitio ya mwaka 2002. Wakala wa Vipimo ilianzishwa rasmi
tarehe 13 Mei, 2002 kwa amri ya Serikali Na. 194 (Government Order No. 194) na
kutangazwa tarehe 17 Mei, 2002. Wakala wa Vipimo ina jukumu la kumlinda mlaji kwa
kuhakiki vipimo vyote vinavyotumika katika sekta za Biashara, Afya, Usalama na
Mazingira.
Nafasi hizi zitajazwa katika ofisi za Wakala wa Vipimo zilizoko Makao Makuu na
katika Mikoa yote Tanzania Bara.

1.0 AFISA VIPIMO DARAJA LA II: Nafasi 10
(a) Sifa za kuingilia moja kwa moja
 Kuajiriwa wenye Stashahada ya Juu/Shahada ya kwanza ya Legal and Industrial
Metrology toka Chuo kinachotambuliwa na Serikali.
 Au kuajiriwa wenye Shahada ya Uhandisi/Sayansi waliohudhuria mafunzo ya Mwaka
mmoja ya Stashahada ya Uzamili ya Legal and Industrial Metrology toka Chuo
kinachotambuliwa na Serikali.

(b) Sifa za kuingilia waliomo kazini:
 Kubadilishwa vyeo Maafisa Vipimo Wasaidizi ambao watakuwa wamepata sifa
zilizotajwa katika Kifungu 1 (a) hapo juu;
 Kubadilishwa vyeo watumishi toka kada nyingine watakao kuwa wamepata sifa
zilizotajwa katika Kifungu 1(a) hapo juu.


(c) Kazi za Kufanya:
(i) Kukagua, kuhakiki na kuvirekebisha vipimo vya wafanyabiashara;
(ii) Kutunza na kuhifadhi vifaa vya kitaalam vitumikavyo katika utendaji wa kazi;
(iii) Kutoa ushauri kuhusu masuala ya uhakiki na matumizi ya vipimo;
(iv) Kufanya upelelezi kuhusu ukiukwaji wa Sheria ya vipimo;
(v) Kupokea na kufanyia kazi malalamiko ya wadau na wateja.
(vi) Kufanya kazi nyingine kama atakavyopangiwa na kiongozi wake zinazohusiana na
elimu na ujuzi wake wa kazi.

NGAZI YA MSHAHARA
Kwa kuzingatia ngazi za mishahara ya Wakala wa Vipimo WMAS 3 kwa mwezi.

MASHARTI YA KUOMBA KAZI
1. Waombaji wote lazima wawe raia wa Tanzania wenye umri usiozidi miaka
arobaini na tano (45).
2. Waombaji wanatakiwa kuambatisha nakala ya wasifu wa hivi karibuni yenye
anuani ya sanduku la barua, barua pepe na namba za simu.
3. Waombaji wanatakiwa kuambatisha vyeti vifuatavyo ambavyo
vimehakikiwa (certified copies):
 Stashahada ya Uzamili (Postgraduate Diploma)
 Cheti cha Stashahada ya Juu/Shahada ya kwanza
 Cheti cha Elimu ya Ufundi
 Cheti cha Kidato cha Nne na Cheti cha Kidato cha sita
 Cheti cha kuzaliwa
4. Waombaji hawatakiwi kuambatisha nakala ya hati ya matokeo (result slips)
ya kidato cha Nne na kidato cha sita au Testimonials and all Partial transcripts.
5. Waombaji ambao wameajiriwa katika utumishi wa Umma wapitishe maombi
ya kazi kwa waajiri wao.
6. Wastaafu katika utumishi wa Umma kwa sababu zozote hawatakiwi kutuma
maombi.
7. Waombaji wanatakiwa kuandika majina matatu ya wadhamini (referees).
8. Waombaji wenye mahitaji maalum/ulemavu wanashauriwa kuainisha.
3
9. Maombi ya barua yaandikwe kwa lugha ya Kiswahili au kiingereza na
yatumwe kwa:

Afisa Mtendaji Mkuu,
Wakala wa Vipimo,
S.L.P. 313,
DAR ES SALAAM.

Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 4 Septemba, 2017.

Waombaji watakaochaguliwa ndio tu watakaotaarifiwa kwa ajili ya tarehe ya usaili.
AFISA MTENDAJI MKUU
WAKALA WA VIPIMO

Published in NAFASI ZA KAZI

06/02/2017
TANGAZO LA KAZI.
Shirika la Wakulima Wetu Tarime (WAWETA) ni shirika lisilokuwa la kiserikali lililo anzishwa mwaka 2014 na kusajiriwa chini ya sheria ya usajiri mashirika Na. 24 kifungu 12 (2) ya mwaka 2002 na kupata Namba OONGO/08208 likiwa na lengo la kuwajengea uwezo Wakulima na Wafugaji kwa kutoa elimu ya Kilimo na ufugaji wenye tija na endelevu.
Kutokana na mikakati ya Shirika ya mwaka 2017 Shirika linahitaji kuajiri nafasi moja (1) ya Afisa Kilimo Msaidizi(Agricultural Field Officer) ambaye atafanya shughuli za shirika Mfano kutoa mafunzo kwa wakulima Wilayani Tarime,kutoa elimu ya mifugo kwa wakulima kwa kushirikiana na Mratibu , Bodi ya Shirika WAWETA ili kufikia malengo iliyojipangia.,

SIFA ZA MUOMBAJI:
1) Awe Mtanzania mwenye akili timamu,
2) Asiwe na historia ya kushitakiwa kwa makosa ya jinai,
3) Awe na elimu ya kidato cha IV na kuendelea
4) Awe na elimu ngazi ya cheti(certificate) au stashahada (Diploma) ya Kilimo na mifugo(GENERAL AGRICULTRE) kutoka chuo kinacho tambuliwa na serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania, Kama atakuwa amepata elimu nje ya nchi ni
lazima aambatanishe cheti kilicho thibitishwa na baraza la vyuo na ufundi (NACTE).
5) Awe na uwezo wa kufanya kazi na vikundi vya Wakulima.
6) Awe na leseni ya kuendesha chombo cha moto hususani pikipiki.
Barua ya maombi iliyoambatanishwa na nakala za vyeti vya elimu, kitambulisho cha mpiga kura, na au barua ya uthibitisho kutoka ofisi ya mtaa au kitongoji, namba ya simu pamoja na barua pepe ya muombaji yatumwe kwa barua pepe [email protected]  au anuani ifuatayo:

MWENYEKITI
SHIRIKA LA WAKULIMA WETU TARIME
S.L.P. 16
TARIME
Pia maombi yanaweza kuletwa ofisi ya WAWETA MAKAO MAKUU ofisi iko jirani na ofisi ya idara ya Kilimo Halmashauri ya wilaya ya Tarime au ofisi ya idara ya Kilimo kuanzia saa 1.30 hadi saa 9.30 alasiri siku zote jumatatu hadi jumamosi ,tarehe ya mwisho kutuma maombi 11/02/2017 (Kwa mawasiliano simu namba; 0764218172, 0753193715)
NB: MUOMBAJI ATAJIGHARAMIA USAFIRI NA FEDHA ZA KUJIKIMU.
*MWISHO wa kutuma maombi haya ni tarehe 11/02/2017 saa 9.00 Alasiri, Watakaofanikiwa watajulishwa kufika kwenye usaili tarehe 13/02/2017 .

Published in NAFASI ZA KAZI

NAFASI ZA KAZI VICTORIA EDIBLES LTD

Kampuni inayoshughulika na viwanda vya usindikaji wa chakula iliyopo kanda ya Ziwa inahitaji wafanyakazi waffuatao

1.       AFISA UZALISHAJI(PRODUCTION OFFICER)

Shughuli zote za uzalishaji katika kwanda kutafuta malighafi, kusindika,

Kusimamia ubora wa kuhifadhi,  kasafirisha mizigo, kuuza, kusimamia wafanya kazi na wakulima  na shughuli zote atakazo elekewa na wakuu wake wa kazi

2.       AFISA MASOKO(MARKETIMG OFFICER)

Shughuli zote za uuzaji na utafutaji wa masoko ya bidhaa nza kampuni na utafutaji wa malighafi na usafirisahji

3.       MWANA SAYANSI CHAKULA( FOOD SCIENTIST)

Kudhibiti ubora wna usalama wa chakula kinachozalishwa

4.       FUNDI MITAMBO(PLANT ENGINEERING/ TECHNICIAN)

Kkusimamia na kuhakikisha mitambo yote ya kiwanda , magari na matrekta na mengineyo ina fanya kazi vizuri na kwakiwango cha juu kabisa

5.       AFISA UTAWALA(ADMINSTRATIVE AND PERSONAL OFFICER)

Kusimamia shughuli zote za utawala wa kampuni na mambo yote yahusyo watumishi

 

Yeyeto mwenye kuhitaji kazi mojawapo atume maombi yenye CV  kamili ikionyesha elimu ujuzi uzoefu na umri na mengineyo pamoja na nakala za vyeti vake kwa

 

MKURUGENZI MKUU’

VICTORIA EDIBLES LTD,

P.O. BOX 31373,

DA ES SALAAM

 

SOURCE MWANANCHI JANUARY 17, 2017

Published in NAFASI ZA KAZI
Page 1 of 2