NAFASI ZA KAZI VICTORIA EDIBLES LTD

Kampuni inayoshughulika na viwanda vya usindikaji wa chakula iliyopo kanda ya Ziwa inahitaji wafanyakazi waffuatao

1.       AFISA UZALISHAJI(PRODUCTION OFFICER)

Shughuli zote za uzalishaji katika kwanda kutafuta malighafi, kusindika,

Kusimamia ubora wa kuhifadhi,  kasafirisha mizigo, kuuza, kusimamia wafanya kazi na wakulima  na shughuli zote atakazo elekewa na wakuu wake wa kazi

2.       AFISA MASOKO(MARKETIMG OFFICER)

Shughuli zote za uuzaji na utafutaji wa masoko ya bidhaa nza kampuni na utafutaji wa malighafi na usafirisahji

3.       MWANA SAYANSI CHAKULA( FOOD SCIENTIST)

Kudhibiti ubora wna usalama wa chakula kinachozalishwa

4.       FUNDI MITAMBO(PLANT ENGINEERING/ TECHNICIAN)

Kkusimamia na kuhakikisha mitambo yote ya kiwanda , magari na matrekta na mengineyo ina fanya kazi vizuri na kwakiwango cha juu kabisa

5.       AFISA UTAWALA(ADMINSTRATIVE AND PERSONAL OFFICER)

Kusimamia shughuli zote za utawala wa kampuni na mambo yote yahusyo watumishi

 

Yeyeto mwenye kuhitaji kazi mojawapo atume maombi yenye CV  kamili ikionyesha elimu ujuzi uzoefu na umri na mengineyo pamoja na nakala za vyeti vake kwa

 

MKURUGENZI MKUU’

VICTORIA EDIBLES LTD,

P.O. BOX 31373,

DA ES SALAAM

 

SOURCE MWANANCHI JANUARY 17, 2017

Published in NAFASI ZA KAZI