Saturday, 06 May 2017 09:33

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI NHIF

Rate this item
(0 votes)

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI

National-Health-Insurance-Fund-NHIF2.jpg
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya “National Health Insuarance Fund” (NHIF) inapenda kuwataarifu watanzania wote walioomba kazi zilizokuwa zimetangazwa kwa niaba ya Mfuko huo kuwa, inatarajia kuendesha usaili na hatimaye kuwapangia vituo vya kazi waombaji wote watakaofaulu usaili huo.

Orodha ya majina yote ya wanaoitwa kwenye usaili yanapatikana kwenye attachment hapo chini

 

Read 1070 times