Warning: count(): Parameter must be an array or an object that implements Countable in /home/masebe85/public_html/wp-content/plugins/wp-jobsearch/includes/single-pages/single-job.php on line 106

AFISA MANUNUZI DARAJA LA II

Full time Ajira Zetu in Procurement and Supply Email Job
  • Share:

Job Detail

  • ExperienceFresh
  • IndustryManagement
  • QualificationsDegree Bachelor

Job Description

AFISA MANUNUZI DARAJA LA II NAFASI 1

SIFA NA UZOEFU
– Kuajiriwa mwenye shahada ya kwanza katika fani ya Manunuzi au Ugavi kutoka katika chuo kinachotambulika na Serikali
– Awe na cheti kutoka bodi ya Manunuzi
– Mwenye uzoefu wa kufanya kazi za manunuzi atapewa kipaumbele zaidi
– Mwanachama wa TALGUW atafikiriwa zaidi
– awe na umri usiozidi miaka 45

KAZI ZA KUFANYA
– Kukusanya takwiu za kusaidia kutayarisha makisio ya vifaa vinavyohitajika na Mpango wa Manunuzi
– Kukusanya na kutunza takwimu za wazabuni mbali mbali katika chama
– Kukusanya na kutunza takwimu upokeaji, utunzaji na usmbazaji wa vifaa
– Kubuni mfumo mzuri wa uwekaji na utunzji wa vifaa
– Kusimamia ukaguzi wa kihesabu wa vifaa vya chama mara kwa mara
– Kusaidia katika shughul za Miradi ya Chama
– Kutayarisha taarifa za kazi katik mwezi, robo ya mwaka na kila mwaka,
– kufanya kazi zinginezo atakazo pangiwa na mwajiri wake

NAMNA YA KUTUMA MAOMBI

waomabaji wenye sifa zilizotajwa watume maombi yao kwa

Katibu Mkuu,
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU),
S.L.P 16096,
Dar es Salaam

NB
Barua zote za maombi ziambatanishwe na wasifu wwa mwombaji , picha moja ya paspoti ya hivi karibuni na nakala zilizothibitishwa viwango vya ufaulu na vyeti vya taaluma, majina matatu ya wadhamini yaonyshe namba zao za simu maombi yatumw kwa njia ya posta

TANGAZO PIA LAPATIKANA KWENYE TOVUTI YA www.talgwu.or.tz
mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 14/06/2018

Other jobs you may like