MABADILIKO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU

MABADILIKO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO VYA UALIMU

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mithihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwatangazia watahiniwa wote wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa, kufuatia mabadiliko ya mihula yaliyofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mtihani wa Kidato cha Sita uliokuwa ufanyike mwezi Februari 2013 sasa utafanyika mwezi Mei 2013.

source Necta

Bofya hapo chini kusoma waraka.

Leave a Comment