Mtoto mwenye kipara

Na Mwandishi wetu.

Nilipokuwa mdogo mama alinisimulia hadithi mbalimbali lakini sikupata kujua zinamaana gani kwakuwa akili zangu na uelewa wangu ulikuwa ndogo.
Katika hadithi hizo ninayoikumbuka sana hi hii nayotaka niwashirikishe wasomaji wa HABARIZETU.COM   kwakuwa sasa nimeelewa nini Mama alikuwa anafikisha ujumbe wa watoto wake.

Kichwa cha hadithi hiyo ni MAMA MJAMZITO HATAKIWI KULA MAYAI  KWA SABABU ATAZAA MTOTO MWENYE KIPALA (ASIYE NA NYWELE).
Kumbe wazazi walikuwa wanamaana sana ila sina  uhakika kama ni kweli kwa maana ya kuwa epusha na matatizo haya ya sasa au walikuwa ni wa choyo . kwa kuwakataza wasiyatumie wajawazito tuu na wengine huyatumia kwanini mama mjamzito allikuwa nanakatazwa kwa kigezo kuwa atazaa mtoto myenye kipara(asiye na nywele).

Ila naona kuwa zamani kulikuwa hakuna hosipitali nyingi kama ilivyo sasahivi pia ilikuwa na umbali sana kutoka sehemu walipo mpaka mahali sehemu hospitali ilipo ukizingatia hilo  unaweza kung’amua nini walikuwa wanamanisha katika kipindi kile.
Ukitaka kuangalia wakati huu na miaka ya hivi sasa ukitofautisha na miaka ya 1990 wajawazito walizaa bila upasuaji lakini sasa idadi ya wanaozaa kwa upasuaji (operation)  inazidi ila nadhani imetokana na kutokuwa wastaarabu wa vyakula tunavyokula wa  tukiwa wajawazito au tusipokula yunawanyima  watoto waliotumboni virutubishomhimu vinavyotakiwa.

Kwa kipindi hiki ni tofauti na miaka ya nyuma au tulejee miaka ya kutokula mayai na vyakula  vyenye mafuta sana  maana kipindi cha nyuma vyakula vilikuwa haviwekwi mafuta  na viungo vilivyokua vikitumika ni kama unga wa mbegu za Maboga, Alizeti, na Karanga ambapo ni tofauti na utunamatumizi mengi ya mafuta na mafuta yenyewe ya koresto( haramu) nyingi sana ambayo sio rafiki wa afya kabisa .

Ila wataalamu  wanatushauri tutumie mafuta ya alizeti ambayo hayapatikani kwa bei rahisi kama mafuta yanayozalishwa na viwanda vyetu hapa nchini.
Tufikirie miaka ya themanini kama kulikuwa na hata viwanda vya kuzalisha mafuta kwa wingi kama kipindi hiki ndio maana wezetu walijifungua bila operasheni(upasuaji) labda kulikuwa hakuna hosipitali ila mimi nadhani walikuwa wanawakataza wanawake wajawazito kula vyakula hinyo vyenye utajiri wa vitamin ili waepukana na adha  na gharama za kuwapeleka hospitali ikiwa hosipitali zilikuwa umbali mrefu.

Kipindi hiki cha magonjwa mengi wajawazito wanaambiwa kuhudhuria kriniki ili kujua afya ya mtoto na mama  tofauti  na kipindi cha nyuma mfano hospitali ipo moja katika wilaya  moja ndio maana waliwadanganya wajawazito kutokula mayai na maini kipindi hicho.

Leave a Comment

Mtoto mwenye kipara

Na Mwandishi wetu.

Nilipokuwa mdogo mama alinisimulia hadithi mbalimbali lakini sikupata kujua zinamaana gani kwakuwa akili zangu na uelewa wangu ulikuwa ndogo.
Katika hadithi hizo ninayoikumbuka sana hi hii nayotaka niwashirikishe wasomaji wa AJIRAZETU.COM   kwakuwa sasa nimeelewa nini Mama alikuwa anafikisha ujumbe wa watoto wake.

Kichwa cha hadithi hiyo ni MAMA MJAMZITO HATAKIWI KULA MAYAI  KWA SABABU ATAZAA MTOTO MWENYE KIPARA (ASIYE NA NYWELE).