MSAIDIZI WA HESABU

Popular

Full Details

MSAIDIZI WA HESABU NAFASI 2 - HALMASHAURI YA MISSENYI

Halmashauri ya Missenyi kwa kibali cha AJIRA chenye Kumb. Na FA 170/368/01/37 inapenda kuwatangazia wananchi wote nafasi ya kazi ya Msaidizi wa Hesabu

SIFA
- awe Matanzania
- mwenye umri wa miaka kati ya 18 - 45
- awe na chet cha ATEC level II au foundation level kinachotolewa na NBAA
- uzoefu wa kazi zaidi ya mwaka 1 katika fani hiyo

MSHAHARA

Ngazi ya TGS - B

Maombi yote yaambatanishwe na maelezo binafsi (CV). PICHA 1, NAMBA YA SIMU KWAAJILI YA MAWASILIANO

Mwisho wa kupokea ni tarehe 08/03/2018 aa 9:30 Alasir

maombi yatumwe kwa

Mkurugenzi Mtendaji,
Halmashauri ya Wilaya Missenyi,
S.L.P 38,
KYAKA- KAGERA

More details

Name Full Details
Deadline 8 March 2018

Ad details

Ad ID : 8207
27613 Views

Advertiser details

Ajira Zetu (1487)
Contact Advertiser Share

Phone number

Sorry, you need to register or login first.

MSAIDIZI WA HESABU

Contact form

Sorry, you need to register or login first.

What's wrong with this ad?

Sorry, you need to register or login first.

Add to favorites

Sorry, you need to register or login first.