TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CMSA (UTUMISHI)

Popular

Full Details

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA RAIS

SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb.NaEA.7/96/01/J/115 04 Aprili, 2018

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI
Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Capital
Market and Securities Authority (CMSA) anatarajia kuendesha usaili na hatimaye
kuwapangia vituo vya kazi waombaji kazi watakaofaulu usaili.

Wasailiwa wanaoitwa kwenye usaili wanapaswa kuzingatia maelekezo yafuatayo:-

i. Usaili utafanyika, muda na sehemu kama ilivyoainishwa kwa kila Kada katika
tangazo hili;

ii. Kila Msailiwa anapaswa kuwa na kitambulisho kwa ajili ya utambuzi;

iii. Vitambulisho vinavyokubalika ni pamoja na:- Kitambulisho cha Mkazi,
Kitambulisho cha Mpiga kura, Kitambulisho cha kazi, Kitambulisho cha Uraia
au Hati ya kusafiria;

iv. Wasailiwa wanatakiwa kufika na VYETI VYAO HALISI, kuanzia cheti cha
kuzaliwa, kidato cha IV, VI, Stashahada, Stashahada ya Juu, Shahada na
kuendelea kutegemeana na sifa za Mwombaji;

v. Wasailiwa watakaowasilisha“Testimonials”, “Provisional Results”, “Statement
of results”, hati za matokeo za kidato cha IV na VI (form iv and form vi
results slips) HAVITAKUBALIWA NA HAWATARUHUSIWA KUENDELEANA USAILI;

vi. Kila msailiwa atajigharamia kwa chakula, usafiri na malazi;

vii. Kila Msailiwa azingatie tarehe na mahali alipopangiwa kufanyia usaili;

viii. Kwa waombaji waliosoma nje ya Tanzania wahakikishe Vyeti vyao
vimehakikiwa na kuidhinishwa na mamlaka husika (TCU na NECTA).
ix. Waombaji kazi ambao majina yao hayakuonekana katika tangazo hili
watambue kuwa hawakukidhi vigezo. Hivyo, wasisite kuomba tena pindi
nafasi za kazi zitakapotangazwa na kuzingatia mahitaji yaTangazo husika.

x. Kwa kada ambazo wanatakiwa kusajiliwa na Bodi zao za Kitaaluma
wanapaswa kuja na vyeti vyao Halisi vya Usajili pamoja na Leseni za
kufanyia kazi.

kuona majina hayo bofya hapa

kuona majina hayo bofya hapa https://www.ajirazetu.com/ajira/tangazo-la-kuitwa-kwenye-usaili-cmsa-utumishi-2

Ad details

Ad ID : 8317
Dar Dar es Salaam, Tanzania
2573 Views

Advertiser details

Ajira Zetu (1513)
07xxx xxxxx show
Contact Advertiser Share

Phone number

Sorry, you need to register or login first.

TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI CMSA (UTUMISHI)

Contact form

Sorry, you need to register or login first.

Add to favorites