MAJINA YA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI

Popular

Full Details

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS
SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA

Kumb. Na. EA.7/96/01/J/119 10 Aprili, 2017

TANGAZO LA KUITWA KAZINI

Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma anapenda
kuwataarifu Waombaji kazi wa nafasi mbalimbali waliofanya usaili kuanzia
tarehe 19 – 20 Machi, 2018 kuwa majina ya waombaji kazi waliofaulu
usaili huo ni kama yalivyoorodheshwa katika tangazo hili. Orodha ya
majina haya inajumuisha baadhi ya wasailiwa waliokuwa kwenye
kanzidata (Data base) kwa kada mbalimbali ambao wamepangiwa vituo
vya kazi baada ya nafasi kupatikana.

Waombaji waliofaulu usaili wanatakiwa kuchukua barua za kupangiwa kituo
cha kazi katika Ofisi za Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma
zilizopo Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Jengo la Maktaba Kuu ya
Taifa, ghorofa ya pili, Masjala ya wazi ndani ya siku saba kutoka
tarehe ya tangazo hili na baada ya hapo barua ambazo
hazijachukuliwa na wahusika zitatumwa kupitia anuani zao za Posta.

Aidha, waombaji kazi waliofaulu usaili na kupangiwa kituo cha kazi
wanatakiwa kuripoti kwa Mwajiri katika muda ambao umeainishwa kwenye
barua za kupangiwa kituo cha kazi wakiwa na vyeti halisi (Originals
Certificates) za masomo kuanzia kidato cha nne na kuendelea ili
vihakikiwe na mwajiri kabla ya kupewa barua ya Ajira.

Kwa wale ambao majina yao hayapo katika tangazo hili watambue kuwa
hawakupata nafasi/hawakufaulu usaili, hivyo wasisite kuomba kwa mara
nyingine nafasi za kazi zitakapotangazwa.

kusoma majina hayo bofya hapa https://www.ajirazetu.com/ajira/majina-ya-walioitwa-kazini-utumishi-2

Ad details

Ad ID : 8335
Dar Dar es Salaam, Tanzania
3613 Views

Advertiser details

Ajira Zetu (1513)
Contact Advertiser Share

Phone number

Sorry, you need to register or login first.

MAJINA YA WALIOITWA KAZINI UTUMISHI

Contact form

Sorry, you need to register or login first.

Add to favorites

Sorry, you need to register or login first.